Je ni kweli?

penzi halichagui rangi,dini, kabila, kimo au baraunalotokea achia mbali nchi au kijiji...

hahaha...i used to think on the same lines...
Kwa nini wewe leo usimpende huyo msichana uliyekutana naye njiani?
 
Labda huko kwao zimbabwe wana ubaguzi naona sio tatizo kabisa
 
am talkin of true luv here..!

kwani mimi naongelea nini? kila mtu subconsciously ameshaweka viwango vyake....kuanzia dini, rangi, culture, elimu. Usidhani unapompenda mtu ni imetokea tu bahati mbaya. They have to fit within a box which u have already created in ur mind. Huwezi amka leo na kusema nita-fall in love na yeyote yule. Maana love lazima ianze na attraction. Na hiyo inakuwa determined na hivyo viwango.
 
kuna thread humu ndani inatuonya wanaume wabongo tusipokuwa makini na 'serious' dada zetu wote watachukuliwa na wazungu. so mi naona wabongo (mademu) ni favourites ya wazungu kulkiko wazimbabwe(?). nadhani ni chemistry za watu. wapo waafrika (weusi) wenye kupenda races nyingine na vice versa.
 
Wengi wa wazungu ni wakweli, akipenda amependa akikuchoka haendelei kukudanganya anakuomba talaka, hii ni njzuri sana na hisi mama zao wanawafunza tangu wako tumboni kuhusu uaminifu
 
Wengi wa wazungu ni wakweli, akipenda amependa akikuchoka haendelei kukudanganya anakuomba talaka, hii ni njzuri sana na hisi mama zao wanawafunza tangu wako tumboni kuhusu uaminifu

mhh...i beg to differ. Msiwasifie sana wazungu maana namna hii ndio mnajishusha na kujiona inferior. Vitu vyote wanaofanya wao na sisi tunafanya, na vice versa...
kuna wazungu kibao hawaombi talaka, nk na wanaendelea na ufuska. Usifanye generalisation hata siku moja.
 

hahahahahahaha lol
acha vichekesho embu
hamna lolote msijisifie for nothing..
( even tho i like African men)
lakini wazungu wanajua kupenda
na mzungu akikuchoka ni talaka
wengi wakicheat wanakwambia..
 
hahahahahahaha lol
acha vichekesho embu
hamna lolote msijisifie for nothing..
( even tho i like African men)
lakini wazungu wanajua kupenda
na mzungu akikuchoka ni talaka
wengi wakicheat wanakwambia..

una maana gani kuwa wanajua kupenda?
talaka zinakuja baada kutokana na culture yao walivyo-embrace maana ya marriage!
Lakini kusema mengine ni kujidanganya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…