Mmmhh
Kuolewa kunatofautiana
kila mtu anaolewa kwa muda wake
Na sababu zake.. wengine wanananguliza
ndoa halafu masomo wengine masomo halafu ndoa.. yote maisha na sioni tatizo liko wapi..
baaas hilo ndio jibu la swali hakuna kujadili hahahha masomo kwanza ndoa itafata ndoa kwanza masomo yatafata...
Jamani jamani Nilham
ndo nini kupotea hivyo mpenzi...
Mzima lakini wewe ??
Hahahahahahahah lolliondo tenamzima habibty mimi miss wewe sana sana nipooo sijapotea habibty nilitaka unifanyie mpango na mie nikaonane na babu wa loliondo hivi bado yupooo??
Hahahahahahahah lolliondo tena
Dahhhhhh niko free nchana wa leo
naweza kukusindikiza hospital mwaya
lolliondo mbali na nauli imepanda sana
Nimefurahi sana kukuona
tena my dear..
Hahahahahahahah lolhahah me too nimefurahi sawa basi naja kukupitia nikapate dawa ya kuolewa mapema nimridhishe mtoa post hahah si pia ipo dawa hiyo?? jitaarishe nimepata gari ya kitalii lazma tufike mwaka huu hahah mbona watatukomaaaaaaaa
tatizo ni kwamba wadada waliosoma sana wanajiona na wanadhani hamna mwanamume anayewafaa...kiburi cha elimu kinawasumbua.
pili, wanaume baadhi wana inf complex ya kuwatokea wanawake wenye elimu kubwa kwa kudhan hawana hadhi na kuhis watatawaliwa na mwanamke msomi.
hahahahahahahah lol
gari la aina gani hilo mpenzi..
Bm,benzi, jaguar mmmhhhh
au ndi yale toyota na nissan
hahahshhah lol.. Haya bi mzuri mie
a hizi phd dahhhh watakoma trip hii
hahahshhah lol
Nimepata jaguar...toyota na nissan si naskia hapana kufika kwa loliondo hahhahahah lool
Sa hapo nilipobold kudhalilishana mkuu, sio wote bana wengine twajiheshimu na tunakuwa na malengo yetu.Na kuolewa ni majaliwa ndgNdio,wengi hawaolewi maana wanakua wamechezewa sana chuoni na hawatamaniki!!!
mmh,madongo yatayo fata hapa sijui tu
Mmmhh
Kuolewa kunatofautiana
kila mtu anaolewa kwa muda wake
Na sababu zake.. wengine wanananguliza
ndoa halafu masomo wengine masomo halafu ndoa.. yote maisha na sioni tatizo liko wapi..