ha ha ha ha,wala usipate tabu ya kwenda loliondo kwa babu, mimi nimetoka juzi tu huko nanimemuomba vikombe vitatu 3, nimekuja navyo na nimeviweka kwenye freg, njoo nikupatie kimoja bei maelewano ila sio sh 500.
ni kweli kuoana kunatofautiana ila ni bora kumaliza masomo ili ukija ktk ndoa uwe unahangaikia kazi na mumeo, ila kwa masomo ya vyuo tatizo hakuna.😛ound:
Mbona wengi wanaolewa jamani? Hao wanaume wenye degree wanaoa wapi? Si wanaoa wanawake wenye degree kama wao. Naomba ufanye uchunguzi tena. Fact ni kuwa wenye degree hawana muda wa umbeya, They are busy with constructive things.