Skin7 Member Joined Jan 5, 2013 Posts 24 Reaction score 11 Feb 8, 2013 #1 Mtaani kuna tetesi kwamba matokeo ya form four yame release out so kuna ukweli gani juu ya taarifa hizi? Kwani kuna ndugu zangu wana nisumbua sana wana dai kuwa yametolewa but kila niki gugle no result...may be mtandao wangu mdogo.....NISAIDIENI
Mtaani kuna tetesi kwamba matokeo ya form four yame release out so kuna ukweli gani juu ya taarifa hizi? Kwani kuna ndugu zangu wana nisumbua sana wana dai kuwa yametolewa but kila niki gugle no result...may be mtandao wangu mdogo.....NISAIDIENI
Iron Lady JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 4,071 Reaction score 1,374 Feb 8, 2013 #2 mh tetesi zina weza kuwa kweli au uongo, embu tusubiri vyombo vya habari tuone kweli?