Je ni kweli?

Je ni kweli?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Jana while natoka kazini,kuna jamaa aliniomba lift..ile nawasha gari AC na Radio vikawaka at per yaani huwa siswitch off nikizima gari,akaniambia naiua betry niwe naoff...nikatake ushauri leo nazima mwingine akaniambia aah havina ukweli..please mwenye uelewa na mwenye HINTS zozote za DO and DOS kwenye matumizi na utunzaji wa gari atupie
 
Back
Top Bottom