Makusudio ya ( ngono) kwa wale waliowa lakini sio zinaa Ni hivi Mambo Matatu
(1) kuhifadhi nasaba (kufanya ukoo uendelee)
(2) Ktoa Maji amabayo yanadhuru kuyazuwiya katika mwili tu yakawa huyatoi.
(3) Kukidhi Matamanio, na kupata Ladha ya jimai (Ngono)
Mambo hayo matatu ndio Makusudio hasa ya ngono. Ama Ma Dokta wanaona kwamba ngono ni mojawapo ya sababu za kuhifadhi Afya ya Mtu. Mtu akizuwiya kutowa Manii kwa kutofanya Ngono muda mrefu sana wa kudumu humzushia Mtu Maradhi mabaya, mfano kama wasiwasi,Wazimu,na Maradhi mengineyo.
Kwa hivyo yatakiwa Mtu ajilazimishe Mambo Matatu.
(1) Asiache Mwendo awe anatembea tembea kila siku.
(2)Asiache Kula chakula ili chango zake zisifungane Tumboni.
(3)Asiache Ngono kwa mke wake, Kwani Kisima kisichotekwa maji yake, maji hupotea yakawa hayatoki tena.