Je, ni lazima kisheria ni lazima kujiunga na NSSF?

Je, ni lazima kisheria ni lazima kujiunga na NSSF?

FRASTUS

New Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Tafadhali Wadau naomba msaada katika hili. Je, ni lazima kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF? na kama si lazima Nawezaje kujitoa pasipo kujiunga na mfuko mwingine wowote ule?
 
Ni lazima na sio ombi kujiunga mojawapo ya mifuko ya jamii, PSPF, PPF, NSSF, na pia ni lazima ujiunge mfuko wa bima ya afya. Kama hutaki kajiajiri
 
Ni sheria, huwezi kujitoa labda uamue kufanya kazi kama kivuli, yani haupo kwenye mfumo wa ajira rasmi
 
Back
Top Bottom