FRASTUS New Member Joined Dec 23, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Dec 10, 2020 #1 Tafadhali Wadau naomba msaada katika hili. Je, ni lazima kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF? na kama si lazima Nawezaje kujitoa pasipo kujiunga na mfuko mwingine wowote ule?
Tafadhali Wadau naomba msaada katika hili. Je, ni lazima kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF? na kama si lazima Nawezaje kujitoa pasipo kujiunga na mfuko mwingine wowote ule?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 10, 2020 #2 CCM itapataje mapato?
gachacha JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,584 Reaction score 3,977 Dec 10, 2020 #3 Ni lazima na sio ombi kujiunga mojawapo ya mifuko ya jamii, PSPF, PPF, NSSF, na pia ni lazima ujiunge mfuko wa bima ya afya. Kama hutaki kajiajiri
Ni lazima na sio ombi kujiunga mojawapo ya mifuko ya jamii, PSPF, PPF, NSSF, na pia ni lazima ujiunge mfuko wa bima ya afya. Kama hutaki kajiajiri
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,412 Reaction score 20,685 Dec 10, 2020 #4 Ni sheria, huwezi kujitoa labda uamue kufanya kazi kama kivuli, yani haupo kwenye mfumo wa ajira rasmi
Ni sheria, huwezi kujitoa labda uamue kufanya kazi kama kivuli, yani haupo kwenye mfumo wa ajira rasmi