FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Is it? Kwahiyo ukikadiria unadhani tunaweza tukagotea kwenye trillion mia ngapi za kukopesheka? Na kwa maana hii ni kwamba tunakula mpaka mishahara ya vitukuu vyetu ambavyo havijazaliwa sio?Bado tupo mbali saana kufikia hiyo hatua pia kuwa na nchi yenye madini kunatubeba kiasi fran
Nchi inakua haikopesheki kama deni la taifa litazidi ukubwa wa mapato ya nchi_ yaani The higher the debt-to-GDP ratio, the less likely the country will pay back its debt and the higher its risk of default.Is it? Kwahiyo ukikadiria unadhani tunaweza tukagotea kwenye trillion mia ngapi za kukopesheka? Na kwa maana hii ni kwamba tunakula mpaka mishahara ya vitukuu vyetu ambavyo havijazaliwa sio?
Sawa, basi naomba tuzidishe kukopa kwa kasi zaidi hadi tufike 100% na tuache kabisa kukopesheka, na hapo ndio tatizo la kukua kwa deni la taifa litakuwa limeisha.Nchi inakua haikopesheki kama deni la taifa litazidi ukubwa wa mapato ya nchi_ yaani The higher the debt-to-GDP ratio, the less likely the country will pay back its debt and the higher its risk of default.
kwa hiyo ukichukulia mfano wa Tanzania ambao wanasema deni limefikia trillion 5o
50,000,000,000,000 ambayo uki convert kwenye hela ya Marekani unapata 21,739,130,434.8 Billion Dollars
sasa ukichukua 21,739,130,434.8 ukagawanya na uchumi wetu wa Nchi ambao unakaririwa kua takribani dollar za kimarekani billion 56 ukazidisha na Asilimia 100
21,739,130,434.8 ÷ 56,000,000,000 × 100% utapata asilimia 39% Ambayo bado sana hata nusu ya deni kwenye uchumi wetu bado haijafika kwahiyo tunauwezo wa kukopa sana_
Bado, maana si bado wanapewa mikopo minono...Ipoteze mara ngapi?