Habari wadau, niende moja kwa moja kwenye mada kuna...kipindi tunataka kuanzisha kuhusu maswala ya ujasiriamali hususani kwa vijana ni lipi jina zuri litaloendana na maudhui ya kipindi. Naombeni mawazo wadau asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.