1 1st KING Member Joined Nov 2, 2018 Posts 6 Reaction score 1 Apr 28, 2019 #1 Habari wadau, niende moja kwa moja kwenye mada kuna...kipindi tunataka kuanzisha kuhusu maswala ya ujasiriamali hususani kwa vijana ni lipi jina zuri litaloendana na maudhui ya kipindi. Naombeni mawazo wadau asante.
Habari wadau, niende moja kwa moja kwenye mada kuna...kipindi tunataka kuanzisha kuhusu maswala ya ujasiriamali hususani kwa vijana ni lipi jina zuri litaloendana na maudhui ya kipindi. Naombeni mawazo wadau asante.
bachelor sugu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 2,689 Reaction score 3,646 Apr 29, 2019 #2 Usi tiyali,karibuni jamani
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Apr 29, 2019 #3 Ujasiriamali kwa Vijana au Vijana na Ujasiriamali.