juliusJr
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 180
- 61
Habarini wana javin habarini za mchana bila shaka wengine weekend imeanza na wengine majukumu yanaendelea.....!!!
Kama mada inavosomeka hapo juu nimekua nikijiuliza hili swali pasipokua na majibu labda wanajamvi wa intelligence mnaweza changia kwa hoja zenye kujinga mno
Kwa kuanza nihitaji kujua je ni sahihi PAPA au PADRI kutokuoa wakati biblia kupitia baazi ya funuo zake zinatuhimiza kuijaza dunia au ulimwengu kupitia ndoa vile vile kwa hawa wanitwa WATAWA au MASISTER je ni sahihi kwa wao kutokuo?.Ukilinganisha na matukio mbali mbali yanayofanya na hawa viongozi kurawiti watoto na kufanya mambo yasiyojenga kwa hao watoto au kondoo wanao wachunga.Tumeskia baadhi ya kesi kua wamewabaka watoto na kuwafanyia vitendo ambavo sio vyema.Je ni sheria ambazo wanaziweka wenyewe au ni ujumbe kutoka kwa MUNGU kwamba wao wasioe wala kuolewa na kama ni sheria zao kwanini hawazisimamii na kuzitimiza?.
Actually kuna mkanganyiko juu ya hawa viongozi kwenye dini napenda kuwasilisha na kupokea maoni yenye kujenga kwa jamii zima ya intelligence napenda kutanguliza shukran zangu....Ahsanteni[emoji120] [emoji120] [emoji120]