Je, ni madhara gani nitayapata endapo nikiamua kutotuma hela ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Emmanuel?

Je, ni madhara gani nitayapata endapo nikiamua kutotuma hela ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Emmanuel?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nina wazazi wawili
Bibi mmoja(Grand-mother)
sina mke Wala mtoto

Je nikiamua sikukuu hii ipite kimya kimya na Baada ya hapo kitanipata Nini?
 
hakuna kitakachokupata..
ila kutoa ni moyo!! wakati mwingine inabidi ukibarikiwa uwabariki wengine/wahitaji maana huwezi jua kwa wakati hio utakua umewa save kiasi gani na hakuna kitu kizuri kama kugusa moyo wa mtu
 
Kuwatumia babu, au wazazi pesa sio lazima iwe sikukuu. Ni wajibu kwako kuwajali wazazi. Na sio lazima kuja kuomba ushauri hapa jukwaani. Huna hela wewe.
 
Inawezekana usipatwe na chochote..

But utawezaje kufurahia Sikukuu ya kuzaliwa Emmanuel bila kuwatumia Wazazi wako au Grand Ma wako chochote na ukawa sawa kabisa?

Binafsi mimi siwezi..Roho ni itaniuma mno..Familia kwanza..
 
Kwa hiyo unasubr sikukuu ndo utume chakula nyumbani? Fala sana
 
Mwanaume huwa hana sikukuu,sikukuu tuwaachie wanawake na watoto
 
Kama uchumi unaruhusu sikukuu ni siku ya kutumiana zawadi. Ujenga undugu, uleta kumbukumbu, uleta umoja thus wachaga, wazungu, nk ufurahia kurudi nyumbani kushiriki pamoja na jamaa zao
 
Back
Top Bottom