hakuna kitakachokupata..
ila kutoa ni moyo!! wakati mwingine inabidi ukibarikiwa uwabariki wengine/wahitaji maana huwezi jua kwa wakati hio utakua umewa save kiasi gani na hakuna kitu kizuri kama kugusa moyo wa mtu
Kuwatumia babu, au wazazi pesa sio lazima iwe sikukuu. Ni wajibu kwako kuwajali wazazi. Na sio lazima kuja kuomba ushauri hapa jukwaani. Huna hela wewe.
Kama uchumi unaruhusu sikukuu ni siku ya kutumiana zawadi. Ujenga undugu, uleta kumbukumbu, uleta umoja thus wachaga, wazungu, nk ufurahia kurudi nyumbani kushiriki pamoja na jamaa zao