Kuongeza kijiko kimoja kwenye pipa sidhani kama ni ishu kubwa sana, wala hutai-feel, mi nachukia haya mambo ya kuja kushtukizw aunaambiwa una deni kuuubwa , eti sijui ulipaki wapi sijui..., ni usumbufu kuanza kukimbizana na network kwenye vimashine vyao eti kujua deni, bado uuhangikie control number, halafu ndio ulipe, hivi ina maana sisi hatuna kazi za kufanya sio? Wanatumia bunduki kuwinda samaki. Napendekeza waiunganishe tu humo humo.., hata kama huendi mjini, ulinunua mafuta ya nini kama hutoki na gari, na hata kama ni porini umepaki kwenye road reserve, bado unatakiwa uilipie...Mkuu, mbona unatoa ushauri unaozidi kutuongezea mzigo? Wewe huu uliobeba sio mzito kwako?
Kuna mtu ana gari, anaenda town(kwenye parking fee areas) once per month au asiende kabisa...
Na tutajuaje kama haupaki kwenye road reserve kwenye mitaa isiyo na wahudumu wa parking? Ishu ni kuondoa usumbufu wa kulipa lipa micontrol number kila kukicha, kwani hatuna kazi zingine za kufanya? Waunganishe tu humo humoKwani kila mtu anapaki kwenye public areas?
Utawawekea watu bili kwa kufanya guessing?Na tutajuaje kama haupaki kwenye road reserve kwenye mitaa isiyo na wahudumu wa parking? Ishu ni kuondoa usumbufu wa kulipa lipa micontrol number kila kukicha, kwani hatuna kazi zingine za kufanya? Waunganishe tu humo humo
Ni generalisation for the better good, mbona wenye chainsaw wanalipia Roadlicense?Utawawekea watu bili kwa kufanya guessing?
Hatuwezi tukakulipia wewe sisi wa mashambani huku. Watu wanaotumia parking za serikali ni wachache kuliko wanaotumia binafsi. Pambaneni na parking zenu hukohuko.Ni generalisation for the better good, mbona wenye chainsaw wanalipia Roadlicense?
Tunaangalia complication iliyopo katika ulipaji wa hiyo parking, na urahisi wa kuilipia katika mafuta, kumbuka, kwa mwaka mzima kwa kupitia mafuta unaweza jikuta umelipia elfu ishirini tu, maana tunalipa wote. Tofauti na sasa ambapo tunaoenda mjini tu ndio tunabebeshwa mzigo, lakini wanaopaki kwenye road reserve pembezoni mwa jiji ambao nao walipaswa kulipia, wanapata free boat
Huko shambani unapaki wapi? Unapoweka mafuta kwenye gari laki unakuwa unaenda wapi? Huko unapoenda haupaki gari? Hakuna road reserves? Tulipe wote nanpia tupunguze usumbufu wa macontrol number. Control number na network zinakera sana!Hatuwezi tukakulipia wewe sisi wa mashambani huku. Watu wanaotumia parking za serikali ni wachache kuliko wanaotumia binafsi. Pambaneni na parking zenu hukohuko.
Kama ni kuchangia waweke kodi ya kichwaKwani nchi ni ya wenye magari tu, wote tuchangie huduma
Huo ni Uvivu wa kufikiri vyanzo vipya vya kodiUkusanyaji wake ni mgumu, ni rahisi mno kwenye mafuta
Kuna Uzi ulishaanzishwa huku unafanana na huu,tafadhali mods uunganishen uziCha muhimu ni kuunganisha no ya gari ya muhusika,no ya simu na mifumo ya TARURA,tatizo litaisha,ukiandikiwa parking fees unapata sms alert kwenye simu yako,na pia itasaidia kutrace hata gari lililofanya uhalifu.
Naomba Serekali yetu sikivu ilichukue hili wazo.