jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 Mar 9, 2012 #21 Excellent said: Mkuu ndo hivo,tunaweza tukapenda ila tunapopenda isiwe sababu ya kupoteza nafsi zetu na majuto ktk maisha Click to expand... Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu.... Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh??
Excellent said: Mkuu ndo hivo,tunaweza tukapenda ila tunapopenda isiwe sababu ya kupoteza nafsi zetu na majuto ktk maisha Click to expand... Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu.... Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh??
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Mar 9, 2012 Thread starter #22 jouneGwalu said: Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu.... Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh?? Click to expand... Kaka ni kweli ila ukijitoa sana maumivu yanakwepo pia
jouneGwalu said: Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu.... Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh?? Click to expand... Kaka ni kweli ila ukijitoa sana maumivu yanakwepo pia
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 Mar 9, 2012 #23 Excellent said: Kaka ni kweli ila ukijitoa sana maumivu yanakwepo pia Click to expand... Hamna sio maumivu kaka, ni mapito kidogo tu ya mda kabla hujapata pumziko la ukweli lol
Excellent said: Kaka ni kweli ila ukijitoa sana maumivu yanakwepo pia Click to expand... Hamna sio maumivu kaka, ni mapito kidogo tu ya mda kabla hujapata pumziko la ukweli lol
Rada Senior Member Joined Feb 29, 2012 Posts 123 Reaction score 42 Mar 9, 2012 #24 Mguu nje, mguu ndani ndio mpango wa sasa, kichwa kichwa hukawii kulia dunia ya sasa.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Mar 9, 2012 #25 Ukitaka ujue raha na karaha za kupenda, penda kwa dhati. Penda kwa moyo wako wote.