Baada ya 40 wakati wowote atakapokuwa comfortable. Kumbuka kitendo cha kupata mtoto kinaandamana na mabadiliko mengi ya mwili pamoja na kujiamini. Mpe moyo na kuwa mpole.
NB: hii lugha ya 'kumuingilia' inaogopesha kama hukumu ya kifo. Ungeweza kusema kujamiiana ama kufanya mapenzi.
Chukua majibu ya hapo juu waliyokuambia wadau siku 40 au wiki sita ni kisayansi,tofauti na hapo ni porojo,ila uwe makini usije ukampa mimba nyingine jua njia sahihi za kupanga uzazi.