kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani.
Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake?
Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.