Je ni nafuu kuagiza gari moja kwa moja kutoka Japan au kununua hapahapa

Je ni nafuu kuagiza gari moja kwa moja kutoka Japan au kununua hapahapa

Joined
Jul 14, 2016
Posts
14
Reaction score
6
Nawasalimu wote humu ndani

Naomba msaada wa mawazo /ushauri lipi bora kuagiza gari moja kwa moja toka Japan kwa kutumia makampuni yanayofanya shughuli hizo au kwenda direct show room za hapa hapa Dar es Salaam? Mfano unataka toyota noah super extra limo old model ya 1999?
Niwatakie ushauri mwema
 
Nafuu ni neno pana kidogo.
Nafuu ya pesa
Nafuu ya muda na usumbufu
Nafuu ya kuchagua na kutest kuhakikisha unachonunua
Nafuu ya kulipa na kuchukua....

Kuagiza ni nafuu kidogo na ina mashaka mengi.

Hapa bei inaweza kuwa juu kidogo ila unajiridhisha kila hali na gari unalolitaka.

Fanya maamuzi.
 
Ok mkuu nilimaanisha NAFUU kwa gharama asante kwa maboresho
 
Back
Top Bottom