Nafuu ni neno pana kidogo.
Nafuu ya pesa
Nafuu ya muda na usumbufu
Nafuu ya kuchagua na kutest kuhakikisha unachonunua
Nafuu ya kulipa na kuchukua....
Kuagiza ni nafuu kidogo na ina mashaka mengi.
Hapa bei inaweza kuwa juu kidogo ila unajiridhisha kila hali na gari unalolitaka.
Fanya maamuzi.