Guatanam Member Joined Feb 17, 2023 Posts 6 Reaction score 18 Aug 9, 2024 #1 Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation?
Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation?
Grim Langdon JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 774 Reaction score 2,262 Aug 10, 2024 #2 Discipline and consistency ndo msingi kwanza
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Aug 10, 2024 #3 Nenda jamii intelligent kuna nyuzi kibao huko.
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Aug 10, 2024 #4 Guatanam said: Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation? Click to expand... Sikiliza miziki soft na tunes ukiwa sehemu wewe mwenyewe huku ukiwa umefumba macho kuanzia dakika 5-10
Guatanam said: Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation? Click to expand... Sikiliza miziki soft na tunes ukiwa sehemu wewe mwenyewe huku ukiwa umefumba macho kuanzia dakika 5-10