Mr fekon haonga
Member
- Nov 5, 2018
- 28
- 21
Asante sana mkuu ngoja nifanye kazi eneo hiloBiashara inaweza kukua pasipo kumbukumbu, mauzo ndio yataikuza biashara.
Muhimu fanya usimamizi yakinifu. Andika pesa inayoingia au inayotoka kwa muda wa mwezi mzima ata kama ni shillingi 50. Baada ya hapo utafahamu wapi kuna hasara/ matumizi ya hovyo.
Mali bila daftari uisha bila kujua
Asante sana ngoja nipite play storeTafuta app inaitwa kuza business hiyo unakuwa unaweka record vizuri za stock, mauzo, matumizi pia inasaidia kujua siku gani huwa kwako ni nzuri kibishara.
Shukurani sana Mkuu,kuna kitu cha ziada napenda kusikia.mfano kuna mwenzetu pale kasema kuna app ipo piaWewe ni msomi gani ambaye hujui hata kuweka kumbukumbu mkuu!?[emoji276]yaani unataka sisi standard 7 ndio tuje tukupe somo!!? Fanya hivi mali pasipo daftari hupotea bila taarifa sisi standard 7 ndio tunatumia mfumo huu na haujawahi kufeli [emoji851]