Kumekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika nafasi mbalimbali Serikalini. Lakini wananchi wamekuwa wakiwashangaa wanarudishwa katika nafasi walizoondolewa kutokana na uadilifu au uwezo wa wahusika.
Je ina maana hakuna wengine waadilifu hadi walioondolewa wanarudishwa tena?
Au kuna maigizo kwenye siasa kwa sasa?
Je ina maana hakuna wengine waadilifu hadi walioondolewa wanarudishwa tena?
Au kuna maigizo kwenye siasa kwa sasa?