Je, ni nani anaweza kuibadilisha DR Congo?

Je, ni nani anaweza kuibadilisha DR Congo?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hawa ndio viongozi ambao watagombea uchaguzi Congo

Moise Katumbi, huyu ni mpenda maendeleo na amani

Felix : Huyu ni kiongozi sijui sifa zake nyingi ni zipi ila kiufupi yeye ndio mkongomani halisi

Fayulu : Sifa kubwa ya fayulu ni kujiamini

Wewe una fikiri ninani ambaye anaweza kubadirisha Kongo na kurudisha eshima yetu?

FB_IMG_1661317134318.jpg
FB_IMG_1661317138360.jpg
FB_IMG_1661317166914.jpg
 
Back
Top Bottom