kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Aug 24, 2022 #1 Hawa ndio viongozi ambao watagombea uchaguzi Congo Moise Katumbi, huyu ni mpenda maendeleo na amani Felix : Huyu ni kiongozi sijui sifa zake nyingi ni zipi ila kiufupi yeye ndio mkongomani halisi Fayulu : Sifa kubwa ya fayulu ni kujiamini Wewe una fikiri ninani ambaye anaweza kubadirisha Kongo na kurudisha eshima yetu?
Hawa ndio viongozi ambao watagombea uchaguzi Congo Moise Katumbi, huyu ni mpenda maendeleo na amani Felix : Huyu ni kiongozi sijui sifa zake nyingi ni zipi ila kiufupi yeye ndio mkongomani halisi Fayulu : Sifa kubwa ya fayulu ni kujiamini Wewe una fikiri ninani ambaye anaweza kubadirisha Kongo na kurudisha eshima yetu?