Je, ni nani asiye na kijicho!

sana tena nitakuombea ufanikiwe zaidi
BADILI TABIA mimi ni mmoja wa wakuu wa wilaya wapya walioteuliwa na mkuu wa kaya hivi karibuni nikiwazkilisha wilaya mpya ya Kideleko ................Nipongeze basi..................LOL
 
Last edited by a moderator:
maadam mimi ni binadam kukikosa nikiri tu kwamba ni ngumu ila najizuiaje kisiwe kibaya ndo jambo la muhimu
 
kijicho? lol
ndo kikoje?
what if sitaki kusaidia mtu kwa sababu tu sioni ulazima
hiko ni kijicho?

na wale wanaosaidia watu kwa kutegemea 'malipo'?
hawana kijicho?

na wanaosaidia watu huku mioyoni wana wivu?
 
Ha ha haaaaa


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukiwa nakijicho karne hii si utajikuta unakufa mapema.
Mara jirani wa kushoto kazipiga mahali kavuta Hammer,wa kulia yupo na vogue,
Dogo uliemleta town mara anamiliki bonge la biashara.

Sasa ukiwa na kijicho hapo itakuwaje?
 
Sina wivu na sijuwagi kuumia kwaajili ya mafanikio ya mwengine, Labda kama inafanana na kupenda cha mwingine,

Mtu wa aina ,jinsia, Hali Yoyote akinitaka ushauri nitampa to the Best of my know how ya jambo husika
 
mbona kama huu uzi haupo mahala pake? muheshimiwa Mutabuzi
 
Wivu ni muhimu ili na we ufanikiwe! Hivi jamani hamjawai kuona mtu hana wivu matokeo yake kila siku yuko hapo hapo! Wivu wa maendeleo sio mbaya! Cha msingi na we kazana! Upate! Tatizo linakuja pale mtu ye kashakata tamaa ya kutafuta basi anakaa anatafuta njia za kuwazuia wenzake wasiendelee ili walingane na yeye! We kama huna wivu kaa hivyo hivyo usiharibie wenzako! Ha ha haaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi najijua,ngoja niwe mtazamaji kwanza!
 

Naisubiria hiyo Makala kwa hamu sana Mtambuzi, najuwa umebobea kwenye taaluma ya kuandika makala zenye kuijenga na kuishauri jamii. Big up sana mkuu!
 
mie nahisi nina jicho sio kijicho....:madgrin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…