Je, ni nani atakayeongoza jiji la Nairobi baada ya Sonko kuwekewa marufuku?

Je, ni nani atakayeongoza jiji la Nairobi baada ya Sonko kuwekewa marufuku?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Gavana wa Nairobi Mike mbuvi Sonko hatimaye ameachiliwa kwa dhamana ya $150.000 lakini amepewa marufuku ya kutohudumu katika ofisi yake.

Katika uamuzi uliotolewa katika mahakama ya Milimani siku ya Jumtano , pia amezuiwa kuhudumu katika afisi yake isipokuwa iwapo ataandamana na afisa wa uchunguzi ama mtu yeyote aliyeruhusiwa na mahakama.

Atakapoenda katika ofisi yake akiandamana na afisa aliyeruhusiwa, ataruhusiwa kubeba vitu vyake pekee.

Soko na washukiwa wenzake pia wamepigwa marufuku kutosafiri na watahitaji ruhusa ya mahakama kabla ya kufanya hivyo.

Mkuu huyo wa kaunti ya Nairobi pia ametakiwa kuhakikisha kwamba wafuasi wake wanaweka amani.



Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom