Je ni nani Mzalendo wa kweli: Zitto, Pinda, JK au Lipumba?

samahani naomba nitoke nje ya hao uliowataja, Mzee Mwanakijiji ni mzalendo wa kweli na anauchungu na nchi yake,, mwanasiasa hata siku moja hawezi kuwa mzalendo mara zote anaangalia maslahi yake
 
Hakuna mzalendo kama mimi ambaye nakubali kutembea umbali mrefu kutafuta maji na kuni hata kwenda na kurudi shule huku nikishuhudia VIONGA MBALI MBALI wanaishi maisha ya ukwasi bila kulalamika.
 
kaka mbona sijamuona kwenye list Mh. Mbowe? au huoni kama anastahili kuwa kwenye list ya wanaodhaniwa wazalendo?
 
Naweza kusema kuwa Mzee MWanakijii ndiye mzalendo wa kweli na yeye anapigana akiwa karibu na mbali sana. I know it man kuwa Dr.Slaa na wanachama wote wa Chadema???

inawezekana mwanakjj akawa mzalendo ila sio mwana siasa na mwenye kupenda uongozi 🙂
Hongera Mwanakijj kama watu wameuona uzalendo wako ...keep it up
 
Kwa uliowataja Dr. Slaa anaongoza. Angalau anafikiria wengine hata pale maslahi yake binafsi yanapohusika. Fikiria anaweza kuhoji uhalali wa wabunge kuongezewa marupurupu ingawa nae ananufaika kitu ambacho wengi walimshangaa.
 
Ngoja wapate wadhifa wa Rais ndio utajua ukweli. wa upinzania wanatafuta umaarufu tu, na wasasa hana maana yeyote.
 
Tanzania tunahitaji mzalendo wa kweli katika kufanya Taifa letu liweze kuendelea katika hatua kubwa ya maendeleo
 
Hakuna mzalendo hata mmoja hapo,si Zitto,Pinda au Slaa.They are all opportunists and powerhungry folks wanaotumiwa na nchi za magharibi kwa maslahi yao.Don't be cheated!Wengine hata wako kwenye payrol za maadui zetu.Wanachofanya Dr.Slaa,akina Zitto usidhani ni anything exteremely useful,sio,it's designed kulela fujo na hatimaye kutuingiza katika matatizo ya kuuana wenyewe kwa wenyewe.Walio hamasisha ufisadi ndio hao hao sasa wanao fund vita ya ufisadi kwa kutumia agents wao.Difficult to understand,but it's true!

 
Siyo kweli hata siku moja.. nani ataleta fujo??jaribu kupitia vyama tawala mara zote huwa wanaleta fujo baada ya kushindwa
 
Ndio inawezekana ukawa wewe kwa kuwa ni mmoja wa member wa JF hapa hujakosea kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…