Ndugu zangu huku mtaani kuna maswali mengi, watu tunasikia bunge la katiba lakini wengi wetu hatujui ni nini kinaendelea. Maswali mengi hayana majibu. je ni nani atakuwa Spika wa bunge la katiba? je atateuliwa na nani, au ndo akina Anna Makinda na Ndugai,je wabunge wetu wote wa chama tawala na wa upinzani watakuwemo katika hilo bunge la katiba? je ni kanuni gani zitatumika katika bunge la katiba? mimi ni kati ya watu wasio jua ni nini kitaendelea, huku nikiamini sipo peke yangu hivyo majibu nataraji yatawasaidia wengi.
Ombi langu jukwaa hili litumike kwa watalaam wa mbambo ya siasa kujibu maswali mbalimbali yatakayo ulizwa na wadau.
Ombi langu jukwaa hili litumike kwa watalaam wa mbambo ya siasa kujibu maswali mbalimbali yatakayo ulizwa na wadau.