JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Wafanyakazi wa afya katika mazingira ya kliniki
Mtu yeyote anayesubiri matokeo ya vipimo vya Korona au ambaye amekutwa na Virusi vya Korona.
Watu wanaomhudumia mtu anayeshukiwa au kuthibitishwa kuwa na Korona, nje ya vituo vya afya.
Barakoa za kitabibu pia zinapendekezwa kwa watu wafuatao, kwa sababu wapo katika hatari kubwa ya kuathiriwa zaidi na virusi vya Korona:
Watu wenye umri wa miaka 60 au zaidi.
Watu walio na magonjwa sugu ya kupumua, ugonjwa wa moyo, saratani, unene kupita kiasi, wagonjwa waliopungukiwa na kinga ya mwili na ugonjwa wa kisukari
Watu wenye umri chini ya miaka 60 na wana hali nzuri ya kiafya wanaweza kuvaa barakoa za vitambaa
Upvote
0