MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wala si malaria, ulivyomnyima Ali ko Dangote soda aliingia kwenye uhalifu na juzi kati raia walimsulubu.Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba nimnunulie au kumgawia ile pepsi nikasema NO. Nadhani hiyo siku nilikua na Malaria.. π€£
Uliota karudi madarakani?Kuna ndoto niliota kuhusu the late magu, dah acha ibaki tu kuwa ndoto ile!
Pole sana mkuuNiliota nipo kwenye msiba wa mzee wiki moja kabla ya kufariki kwake
ππ, utajiri unanukia komaa kuchapa kazi.Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba nimnunulie au kumgawia ile pepsi nikasema NO. Nadhani hiyo siku nilikua na Malaria.. π€£
Mi ntakua natafsiri tu......kwako Roho ya umasikini inakuandama mkuuWakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba nimnunulie au kumgawia ile pepsi nikasema NO. Nadhani hiyo siku nilikua na Malaria.. π€£
ππ, utajiri unanukia komaa kuchapa kazi.
Wakuuu πππ€Mi ntakua natafsiri tu......kwako Roho ya umasikini inakuandama mkuu
Naona watabiri wakikizana ππWakuuu πππ€
Mwingine anasema utajiri mwingine anasema umaskini nimebaki tu kushangaaππNaona watabiri wakikizana ππ
Em kua serious BasiππKuku ananichekea
Alafu huyo kuku alikuwa na meno mabaya sana sina mfano alafu yote magego si anachekea kwa pembeniEm kua serious Basiππ
Niliota Magu kabla hajawa Rais na akawa Rais, nikaota Tena vile ambavyo analiliwa na watu na ambavyo angeibadilisha Tanzania kwa kuijenga vyema...Kuna ndoto niliota kuhusu the late magu, dah acha ibaki tu kuwa ndoto ile!
Yeye anamzungumzia ALIKO DANGOTE A SUCCESSFUL NIGERIAN BUSINESS MAN, wewe unamtaja huyo dogo wa Arusha ALLYπ€£π€£Wala si malaria, ulivyomnyima Ali ko Dangote soda aliingia kwenye uhalifu na juzi kati raia walimsulubu.
Ujue umenitishia nguo zangu bado sijaanua njeπ’πππAlafu huyo kuku alikuwa na meno mabaya sana sina mfano alafu yote magego si anachekea kwa pembeni
Shehe Ponda na wafuasi wake kunikaba koo na kunilazimisha niwe gaidi, nikjilipua watailipa familia yangu milioni 2. Kuzinduka tu namuona binamu yangu kashika kanzu mpya ananiambia niivae na nimsindikize Kariakoo anakwenda kukutana na mtu muhimu nikamkatalia, mpaka leo atuongei mimi na yeye.Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?