Evari77
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 665
- 674
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi, standard gauge, itakufa maana katika hotuba zake zote upinga vitu hivi ndege ndio kabisa anawauliza wananchi wanafaidika na nini
Je, tutazamie kwenda mbele au kurudi nyuma?
CHADEMA inaweza kupata wabunge walau 5% je anaweza kuunda Serikari?
Mambo ya serikali za majibu yamo kwenye ilani ya chadema au ni mawazo yake nineuliza sijapata majibu nimeuliza watu wanaomfatilia nini hasa waneelewa juu ya sera za chadema iwapo itapewa ridhaaa hakuna majibu ya ihakika
Mwenye kuekewa aje kutuhabarisha nawakilisha