Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Umenifurahisha kwa hilo jbu mkuu[emoji3][emoji3]Don't worry, mkandarasi tumeshaingia nae makubaliano tunampa kipande Cha ardhi achimbe dhahabu mpaka Deni litakapokwisha. Ndio Mana anaendelea na kazi. Kuna shida?
Amani????In short Lissu hawezi kua Rais wa nchi hii tuache hata hizo Assumptions ambazo hazina maana?
Anasera gani? Matusi na Chokochoko na Vurugu za kuleta Ugomvi kwa Watanzania wenye Amani kwa zaidi ya Miaka 50 tangu Uhuru?
NO!
LISSU HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi, standard gauge, itakufa maana katika hotuba zake zote upinga vitu hivi ndege ndio kabisa anawauliza wananchi wanafaidika na nini
Je, tutazamie kwenda mbele au kurudi nyuma?
CHADEMA inaweza kupata wabunge walau 5% je anaweza kuunda Serikari?
Mambo ya serikali za majibu yamo kwenye ilani ya chadema au ni mawazo yake nineuliza sijapata majibu nimeuliza watu wanaomfatilia nini hasa waneelewa juu ya sera za chadema iwapo itapewa ridhaaa hakuna majibu ya ihakika
Mwenye kuekewa aje kutuhabarisha nawakilisha
wewe hapo ulipo ni mateka, mtumwa, lumpeni proletariatKuwafanya watz wote mateka ndani ya Taifa lao
Lissu has never lost any battle. Mungu amemshindia vita vyote. Jiandaeni tu kuwa wapinzani 2020-2025Labda awe Rais wa Mawakili
Dili zinapigwa na Mayanga Construction, Magufuli na Doto JamesNi dili kwenda mbele na rushwa..maana hivyo ndio huleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwa haraka. Hiyo miradi mingine sijui rea, madaraja, hospital, mahakama, mwalim nyerere, vivuko, ndege haimuhusu..haina tija kwa nchi wala wananchi..vyenye umuhimu ni watu kuwa na majumba makali na magari makali. Pamoja na kuongea chochote mfano mama samia afumaniwa na mume wa mtu.
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi, standard gauge, itakufa maana katika hotuba zake zote upinga vitu hivi ndege ndio kabisa anawauliza wananchi wanafaidika na nini
Je, tutazamie kwenda mbele au kurudi nyuma?
CHADEMA inaweza kupata wabunge walau 5% je anaweza kuunda Serikari?
Mambo ya serikali za majibu yamo kwenye ilani ya chadema au ni mawazo yake nineuliza sijapata majibu nimeuliza watu wanaomfatilia nini hasa waneelewa juu ya sera za chadema iwapo itapewa ridhaaa hakuna majibu ya ihakika
Mwenye kuekewa aje kutuhabarisha nawakilisha
Maneno yako yatakuponza baada ya oktoba.Lissu has never lost any battle. Mungu amemshindia vita vyote. Jiandaeni tu kuwa wapinzani 2020-2025
Maneno haya yageuzie kwakoManeno yako yatakuponza baada ya oktoba.
hakika nakueleza chief, upinzani hamna uwezo wakupita katika uchaguzi wowote. Wabunge tu hamtakua na mbunge hata mmojaManeno haya yageuzie kwako
Jidanganye tu. Mwaka wa historia kuu Tanzania huu. CCM jiandaeni tu kuwa wapinzanihakika nakueleza chief, upinzani hamna uwezo wakupita katika uchaguzi wowote. Wabunge tu hamtakua na mbunge hata mmoja
Ww ndo unaamua au ni wananchi wapiga kura?In short Lissu hawezi kua Rais wa nchi hii tuache hata hizo Assumptions ambazo hazina maana?
Anasera gani? Matusi na Chokochoko na Vurugu za kuleta Ugomvi kwa Watanzania wenye Amani kwa zaidi ya Miaka 50 tangu Uhuru?
NO!
LISSU HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA
Lissu has never lost any battle. Mungu amemshindia vita vyote. Jiandaeni tu kuwa wapinzani 2020-2025
Refer to the general rule, Lissu has never lost any battle. God always wins his battles.Usisahau kwamba kuna mara ya kwanza kwa kila kitu.
Ukweli lazima usemwe na huo ndo ukweli Awamu ya Tano hata wapewe miaka 10 zaidi hilo bwawa halitakamilika kwa ukosefu wa fedha na utaalamu dhaifu usiyo na uzoefu. Miaka 5 imekwisha bado hawajaanza kujenga bwawa lenyewe ambalo ndo kazi kubwa inayohitaji utaalamu wa hali ya juu sana ili liweze kuhimili nguvu ya maji bwawa likijaa. Hata bypass ya kubadili mkondo wa mto ili waanze kujenga ukuta wa bwawa kwenye mkondo wake wa asili toka dunia iumbwe bado hawasemi lini mto utahamia kwenye bypass. Hata SGR mara ya mwisho tuliambiwa ingekamilika hadi Morogoro mwezi Novemba, 2019 bado mwezi mmoja utimie mwaka haijulikani imefika wapi wala lini itafika Moro ingawa mawe ya msingi lukuki yameshawekwa njia yote toka Dar mpaka Uvinza mpaka Isaka. Muda huu wa kampeni tutasikia mengi ya mafanikio ya Awamu hii maana leo hiihii imetangazwa kuwa tenda ya ujenzi wa SGR toka Mwanza mpaka Isaka iko tayari kwa wakandarasi kuomba ujenzi uanze fedha ipo. Mwanza/Isaka ni home port kwa wapiga kura lakini hizo treni zitatokea wapi zikienda wapi kama Isaka-Tabora-Dodoma-Moro bado kujengwa? Miradi ya Magufuli haionekani inasemwa tu ni mingapi, manufaa yake na mabilioni/matrilioni ya fedha zilizolipwa au kutengwa na Rais wao mpendwa. Tembo weupe majeruhi ndo Awamu ya Sita itarithi!Gharama za kujenga bwawa la Nyerere ni Trilion 6. Mpaka sasa hivi mkandarasi amelipwa 1.4 T. Hata Magufuli akipewa mitano tena hawezi kumaliza ujenzi wa bwana la Nyerere.