Je, ni nini kinacholitesa a taifa hili kwa sasa?

Solution is the new Constitution that's ALL.
 
Viongozi wa Tanzania na Afrika nzima Wana ubinafsi wa Hali ya juu, siku zote wanajali na kupambana katika kufanikisha ya kwao kwani hata hao Ccm au Chadema Kuna ambao wanatumia tu kama kandambili na mwisho wa siku watakufa maskini kama Bado wapo hai mpaka sasa. Na shida nyingine ni wananchi wa nchi nyingi za Afrika ni waoga kupita maelezo., Wana akili ndogo kama punje ya ubuyu. Awake Africans from the darkness.
 
Upandaji wa bei kwa bidhaa mbalimbali unaoendelea ndani ya nchi yetu kwa sasa haujawahi kushuhudiwa kwa miongo kadhaa,watanzania wanaendelea kukomolewa na chama kilekile na serikali ileile toka uhuru wa nchi hii.na serikali iko kimya kabisa.watanzania wanaweza kudhani kuna serikali kumbe serikali ilishatoweka zamani sana.na ikishatokea hivyo kila kitu kinabaki ni uholela mtup.
 
Yeye aliukuta ufukara akajigeuza mungu wakati hakuwa na jipya lolote.

watanzania wanajua mapya yake,nyie wazee wa porojo pandeni jukwaani muntukane muone mtakavyofilimbwa.
 
watanzania wanajua mapya yake,nyie wazee wa porojo pandeni jukwaani muntukane muone mtakavyofilimbwa.

Wajinga walishaisha, kwa sasa kumebaki uoga tu nao utaisha soon.
 
tatizo ni kizazi fulani Cha viongozi fulani,hiki kingefutika kabisa ktk ardhi hii au kingepigwa ban kujihusisha na siasa nadhani Mambo yangekuwa sawa!!
 
Hivi WATU,SIASA SAFI NA UONGOZI BORA Vimeenda wapi na kwa nn tunaendelea kushuudia ulevi wa nadaraka ktk TAIFA HILI.
 
Hatuna sheria ya kunyonga wanaochezea Taifa,Taifa litaendelea kuchezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…