I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Salamu kwenu. Je, ni nini maana hasa ya neno mwisho wa dunia?
Leo muda fulani nilikuwa naangalia tv documentary moja niliona ikielezea kuwa mwisho wa dunia ni mahali fulani katika bara lililo kusini mwa dunia. Wataalam wanasema eneo hilo hakuna mtu yeyote wala kiumbe yeyote anayeweza kuishi au kufika eneo hilo.
huku upande wapili kwenye imani nako ni mengine kuhusu kitu hiki kinachoitwa mwisho wa dunia.
Sasa je ni maana ipi inayokwenda sawa na neno hilo?