I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Mwisho ni nini na dunia ni nini?
Ni pale black hole(hailezeki ukiwa ktk physical plane) zitakapo kunjakunja mbingu Na ardhi into nothing (singularity) Kila kitu kitakua sio kitu (matter will be converted in to antimatter)..Ila suratul qiyaama ktk kurani Allah ameeleza..ingia play store andika Swahili Qur'anSalamu kwenu. Je, ni nini maana hasa ya neno mwisho wa dunia?
Leo muda fulani nilikuwa naangalia tv documentary moja niliona ikielezea kuwa mwisho wa dunia ni mahali fulani katika bara lililo kusini mwa dunia. Wataalam wanasema eneo hilo hakuna mtu yeyote wala kiumbe yeyote anayeweza kuishi au kufika eneo hilo.
huku upande wapili kwenye imani nako ni mengine kuhusu kitu hiki kinachoitwa mwisho wa dunia.
Sasa je ni maana ipi inayokwenda sawa na neno hilo?
Huu mwisho hapatakuwa na dunia tenaKama unaamini UWEPO WA GHARIKA LA NUHU,,basi MWISHO WA DUNIA ni mfano wa GHARIKA LILE.,,
Sent using Jamii Forums mobile app