Wadau Nina fremu,nahitaji kuanzisha biashara ya duka la nguo,jinsi za kike na kiume,kadets,mashati,tishets,boxers,chupi na vinavyofanana na hivyo.....je Ni rangi ipi inafaa kwenye kupaka hiyo fremu ili kuwe na mwonekano wa kuvutia kwa wateja na pia nguo zionrkane vizuri machoni pa mteja?
Nyeupe?
Pink?
Red?
Kijani?
Nyinginezo itaje
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia mawazo
Asanteni wakuu......nimeprefer nyeupe pia...kesho fundi ataanza kupaka hiyo rangi coz kwa tabia za rangi nyeupe Ni reflective na haitunzi joto pia.....pia hufanya muonekano kuwa mzuri.....God bless u all