Hapana mkuu, ni REAM of paper, sio RIM of paper. Rim ni ukingo wa kitu kilicho wazi mf. kikombe (rim of a cup) au ndoo (bucket rim).Ni Rim (bunda moja la karatasi), ukienda stationary na ukaagiza kwa kusema " Naomba RIM moja la karatasi!" hapo ukiwa na maana ya RIM moja yenye karatasi kama mia tano hv.
Hata mimi nakereka sana na kiingereza kibovu. Umakini umepungua sana. Juzi nimepita mjini nikaona matangazo ya wagombea uongozi wa wanafunzi IFM ,aibu tupu.Leo nimekwenda Zanaki Sec School, upande ule wa madarasa enye 'Kombi' ya KLF. kule kuna duka la vifaa vya maofisini. Kilichonishangaza ni tangazo llinalosomeka hivi, 'TANGAZO; RIMS ZA PHOTOCOPY ZINAPATIKANA'. Je, jambo hili linatufundisha nini? Je hakuna walimu makini hata wanafunzi, kwani tangazo lenyewe laonekana ni la siku nyingi. H
Kama wewe ni msomi basi utajua jibu linakopatikana.Leo nimekwenda Zanaki Sec School, upande ule wa madarasa enye 'Kombi' ya KLF. kule kuna duka la vifaa vya maofisini. Kilichonishangaza ni tangazo llinalosomeka hivi, 'TANGAZO; RIMS ZA PHOTOCOPY ZINAPATIKANA'. Je, jambo hili linatufundisha nini? Je hakuna walimu makini hata wanafunzi, kwani tangazo lenyewe laonekana ni la siku nyingi. H
Aaah ok nashukuru sana kwa kusahihishwa mkuu, tupo pamoja mkuu!Hapana mkuu, ni REAM of paper, sio RIM of paper. Rim ni ukingo wa kitu kilicho wazi mf. kikombe (rim of a cup) au ndoo (bucket rim).
nadhani hilo tangazo limeandikwa RIMS ZA PHOTOCOPY ZINAPATIKANA KWENYE STATIONARY HII
Kwenye red ni makosa tunayokutana nayo kila siku! me naona sio lazima utumie lugha ya wageni ili uonekane umeelimika