Je ni ruksa kwa mtu wa bara kumiliki ardhi Zanzibar?

Je ni ruksa kwa mtu wa bara kumiliki ardhi Zanzibar?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Wakuu

Narudi hapa jungu kuu kuwaswalika kama mtu wa bara anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar kama inavyowezekana kwa mzanzibar kumiliki ardhi bara?
 
Zanzibar hii ya Mwinyi? Lakini nadhani unaweza, sema chocho ni nyingi sana
 
Narudi hapa jungu kuu kuwaswalika kama mtu wa bara anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar kama inavyowezekana kwa mzanzibar kumiliki ardhi bara?
Watakuuliza .....Yaheee weye wataka ardhi gani yaheee kama ni ardhi kumiliko choko yahee wapata tunakupa na pesa tunatoa.... kama ni ardhi ya konde hapana
 
Ardhi ipo ya kutosha ila kwa mujibu wa Sheria za znz, Ardhi ya znz inamilikiwa na waznz tu na sio vyengine,
Unaweza ukanunua na watu watakuuzia ila hautakuwa ni mmiliki kisheria 🙏
 
Back
Top Bottom