mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
kivipi mkuu unaweza kufafanuaVichochoro vingi hadi uje utokee main road, ila unafika
Hee!Labdah mumpitishe Lisu ila vipengele vingi kwa mbara kumiliki ardhi zanzibar
Watakuuliza .....Yaheee weye wataka ardhi gani yaheee kama ni ardhi kumiliko choko yahee wapata tunakupa na pesa tunatoa.... kama ni ardhi ya konde hapanaNarudi hapa jungu kuu kuwaswalika kama mtu wa bara anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar kama inavyowezekana kwa mzanzibar kumiliki ardhi bara?
zipo ngapi kwani? hiyo ingine ya nan?Zanzibar hii ya Mwinyi?