Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.
Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.