so ushauri wako upo vp bossJapo najua fika unatembea na kikongwe....mapenzi haya umri......hata picco aliimba nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe...... ni kawaida ndo maana hii nyimbo ya kikongwe.....
Funga tu ndoa mapenzi hayana umri ....kikongwe nae ana haki ya kupendwa
Acha kuoa huyo Bibi miaka 8 mingi unamtosha kweli? Maana wana dharau hao maana wewe ni sawa mtoto wake kabisa wa kumzaa
Sio sahihi, tafuta binti wa miaka 19 ndio umuoeHabar wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.
Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?
Naombeni ushauri wenu.
Kwenye hiyo miaka 8 aliyokuzidi mmeweza fanya kila kitu ambacho watu wakioana wanafanya sasa iweje kufunga ndoa mshindwe? Oa lishangazi hiloHabar wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.
Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?
Naombeni ushauri wenu.
Usahihi wa kufunga ndoa, unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO (kupendana) na umri unaokubalika katika jamii wa kuoa ama kuolewa.Habar wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.
Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?
Naombeni ushauri wenu.
Don't mislead ppl my friend.Usahihi wa kufunga ndoa, unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO (kupendana) na umri unaokubalika katika jamii wa kuoa ama kuolewa.
Hata kama amekuzidi miaka 30 as long as Mnapendana OANENI
Unadhani nimeiongelea jamii yako?Don't mislead ppl my friend.
Jamii yenu inakubali MTU akioa mke aliyemzidi miaka hata kumi?
Bahari anapenda Mteremko? Sema tu unataka pesa zake huyo ManziHabar wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa, tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.
Je swali langu ni sahihi tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?
Naombeni ushauri wenu.
Ana hela za kutosha?Habar wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, Mimi Nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8 uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu Mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua Mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa,
Tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka Sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana yan nishapenda.