Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Kuna cousin wangu amemuoa mdada mkubwa kwake amepitwa miaka hiyo hiyo 8. Mimi sikupenda vile mdada anaonekana mkubwa sana kwa naked eye.

Lakini mambo yao nimewaachia wenyewe
 
Kuna cousin wangu amemuoa mdada mkubwa kwake amepitwa miaka hiyo hiyo 8. Mimi sikupenda vile mdada anaonekana mkubwa sana kwa naked eye.

Lakini mambo yao nimewaachia wenyewe
Ni mda gani umepita tangu waowane vp maisha yao yapoje ?
 
Sasa wakati unaanza mahusiano si ulijua amekuzidi miaka mi3, pili mambo ya ndoa usitafute ushauri aisee ni jambo linahusu amani ya moyo wako so nashauri ufate moyo wako since wewe ndo unaemjua huyo mtarajiwa wako.
 
Ushauri ni bora ila mawazo yako nibora zaidi. Kila mtu atafikiri kivyake na atatumia mihemko yake. Kumbuja ajuaye ugonjwa unaumaje ni mgonjwa mwenyewe wengine tunakisiatu. Sisi hatumjui, hatujawai kuishi naye, hatujui tabia zake wala chochote alicho nacho je ?. Unafikir ushaur wetu utakua bora zaid kuliko mawazo yako?. Ndoa nimakubaliano ya wawili wapendanao. Umri, shep, sura hivyo vyote nivionjotu kunogesha penzi ila tabia ndo nguzo kuu katika ndoa na hekima ndo huibeba ndoa. Ushaur wangu usifanye harusi kubwa funga ndoa alika watu muhim au wazaz na ndugu hakikisha hawajui umri wamkeo. Furaha niyawawilitu
 
hakuna shida
 
Kama uliweza kum TOMBA miaka yote hiyo na mtoto akakuzalia unashindwaje kumuoa?
Acha utoto, kama unahofia umri usingekuwa nae kwenye mahusiano na kumzalisha..
Hata usipomuoa still itabaki kuwa ulizaa na mtu mkubwa kwako,
Ndoa si umri mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…