Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

Sawa Amekupia miaka 8 lakini JE wewe una umri gani na yeye ana umri gani?Maana kama wewe ni under 30 ni shida ila kama wewe una miaka 50 na yeye 58 mnaweza tu kuoana.
 
Sawa Amekupia miaka 8 lakini JE wewe una umri gani na yeye ana umri gani?Maana kama wewe ni under 30 ni shida ila kama wewe una miaka 50 na yeye 58 mnaweza tu kuoana.
26-34
 
Mkuu so mama ana 34 years ww una 26 years.Mnaweza kuwa wapenzi na Mkafurahi ila kama ni swala la ndoa ambalo kitafsiri ni LONG term comitment Inabidi Utulie na usiwe na haraka.Ila Age is Just a number sema tu umri wako huo ndio utaleta shida ila Yeye anaweza kukufanya uwe the best version of you.So uamuzi unategemea na ww zaidi.Yeye anaweza kuwa mke wa mtu yeyote mwenye heshima na Nidhamu.Je wewe unayo heshima na Nidhamu?
 
Sasa,kama unakili umezaa nae,mpaka hapo umebakiza nini? Kama unaitwa baba kupitia yeye,ukimtelekeza unadhani unamkomoa yeye au mwanao?

Iko hivi: kwa mtoto wa kiume,utateseka sana kuishi na mwanamke anaekuzidi,kwa sababu kiakili yupo mbali sana na wewe.
Kwa mwanaume anaejitambua na kujua wajibu wake,umri ni namba tu.
Japo hakuna palipoandikwa kwamba mwanamke akikuzidi umri,ni kosa au haiwezekani kuishi nae. Sema tu kwa hizi familia zetu za kuungaunga, mara watu ohh,kaoa mzee,mara yule hatozaa, mara yule nini na nini. Ila,ukijua unaingia maisha mapya na lengo ni kujenga, ishi nae.
 
Yani kama utaweza kufunga ndoa na huyo bibi yako basi unao uwezo wa kwenda kujiunga na kundi la Hamas uko ukanda wa Gaza!
 
Mleta mada ishu humu.
 
Huyu jamani, me naona wafunge tu ndoa!!
Anampenda na wameshazaa...
Umri ni number tuu!!!
Mambo mengine watajua mbeleni...
Maana hata wanao oa watoto wadogo ndoa zao hazipo perfect!!!!
Ndoa hizi za watoto wadogo ndo pasua kichwa saana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…