Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwamba,wapo ambao bila vipigo maisha hayasongi au yanasonga ila kwa taabu sana!?Kusikia kwa kenge mpaka damu masikioni.
Ndio, Kuna wanawake wengine bila kipigo anakuona ww ni mwanamke mwenzie tu. Yapo makabila mfano wakurya.Kwamba,wapo ambao bila vipigo maisha hayasongi au yanasonga ila kwa taabu sana!?
Waliwahi kutoa ushahidi,ipo kwenye mila na desturi,ugangwe wao tu au ni mere stories za hapa na pale?Ndio, Kuna wanawake wengine bila kipigo anakuona ww ni mwanamke mwenzie tu. Yapo makabila mfano wakurya.
Pamoja na hilo,kwa mfano,mume kumpiga mke Inaonesia amemchukulia kama mtoto mdogo,mfugo au mnyama asiye na utashi anayehitaji maelekezo kwa njia za maumivu tu.Hiyo ni dharau na kudunisha wengine.Ujima huo
Hakika!Pamoja na hilo,kwa mfano,mume kumpiga mke Inaonesia amemchukulia kama mtoto mdogo,mfugo au mnyama asiye na utashi anayehitaji maelekezo kwa njia za maumivu tu.Hiyo ni dharau na kudunisha wengine.
Hizo ni reaction tu katika maisha ya watu na huwezi kuweka uniform mambo ya maisha ya watu, kupiga sio ustarabu kwa kila sehemu sio ndoa tu, lakini bado watu wanapigana tu kwenye mipira, kazini na maeneo mengi. Kwa hiyo tuendeleeni kutafuta ustarabu kadri tuwezavyo, na sio kuona kupigwa mwanamke ndio huruma zetu zijae hapo, kwanza hadi hapo kuna kosa tiyari na sio la kitoto! Harafu mbona hata wanaume wanapigwa nani aliwahi kuwasemea?Swali la kama mume ana haki ya kumpiga mke wake linazua mjadala mkubwa katika jamii.
Baadhi ya watu bado huamini kuwa mwanaume anaweza kumchapa mke wake kama njia ya kumwadhibu anapokosea au kutokubaliana naye, lakini wengine wanapinga vikali mtazamo huo na kusema migogoro ya ndoa inapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na kuheshimiana.
View attachment 3651086
Njoo unipige!
Sikupigi, nakukaza...Njoo unipige!