Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh kaka! Wakipretend like nothing happened utafanya nn tukio gani tenaNimuulize ili iweje? Sita muuliza mke wangu wala mchepuko wake. Nakaa zangu kimya yaani kama sijui kitu vile.
Siku nikicharuka atakuta nimeandika getini, I love my mchepuko Rama Cheupe muuza chips.
Nikitoka hapo nafanya mbinu, naenda kwa mchepuko naandika bango kubwa, I love Miss Natafuta, mke wa Bujibuji, weee mke wangu Kuruthum ni fala tu hujui kitu.
Kisha narudi zangu home, nakaa kimyaaa wasimuliane wenyewe kisa na mkasa kilichowakuta
Ujasiri huo wanaupata wapi? Mazingira ya kulazimisha ujasiri hupelekea mtu kufia gesti akiwa kifuaniDuuuh kaka! Wakipretend like nothing happened utafanya nn tukio gani tena
Kijana @went extinctNimuulize ili iweje? Sita muuliza mke wangu wala mchepuko wake. Nakaa zangu kimya yaani kama sijui kitu vile.
Siku nikicharuka atakuta nimeandika getini, I love my mchepuko Rama Cheupe muuza chips.
Nikitoka hapo nafanya mbinu, naenda kwa mchepuko naandika bango kubwa, I love Miss Natafuta, mke wa Bujibuji, weee mke wangu Kuruthum ni fala tu hujui kitu.
Kisha narudi zangu home, nakaa kimyaaa wasimuliane wenyewe kisa na mkasa kilichowakuta
Hata siku moja usifanye uamuzi wa kumuuliza unayehisi ni mchepuko wa mpenzi/Mume wako.Je ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
Je ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
Guess mnakutana na vichwa vibovu tu, mshukuru sana Mungu ulikutana na Mwanaume mwenye roho ya kimama.Hata siku moja usifanye uamuzi wa kumuuliza unayehisi ni mchepuko wa mpenzi/Mume wako.
Mimi binafsi ni shuhuda wa hilo..
Mara nyingi hilo litaharibu kabisa mahusiano yako na Mume/mke/au mpnz wako.
Mara nyingi ukikutana na mchepuko mkorofi anavuruga kabisa mahusiano yenu hata kama hawajaanza mapenzi.
Akili za kina Muamala Mwakatozo utazijua tu [emoji23][emoji23]Nimuulize ili iweje? Sita muuliza mke wangu wala mchepuko wake. Nakaa zangu kimya yaani kama sijui kitu vile.
Siku nikicharuka atakuta nimeandika getini, I love my mchepuko Rama Cheupe muuza chips.
Nikitoka hapo nafanya mbinu, naenda kwa mchepuko naandika bango kubwa, I love Miss Natafuta, mke wa Bujibuji, weee mke wangu Kuruthum ni fala tu hujui kitu.
Kisha narudi zangu home, nakaa kimyaaa wasimuliane wenyewe kisa na mkasa kilichowakuta
Kumbe mkuu ndy nyie mnaopigania mwanamke?Guess mnakutana na vichwa vibovu tu, mshukuru sana Mungu ulikutana na Mwanaume mwenye roho ya kimama.
Mkuu sikutanii, kama ningekuwa mimi kwa hayo majibu yako ni hakika nilikuwa nayanunua maisha yako kwa gharama yoyote ile na kama isingekuwa hivyo basi ningekutia kilema cha maisha , sio kwasababu eti ya yule mwanamke (wanawake wengi tu,na hata hivyo hakuwa mke) ila nitafanya hivyo kwasababu kauli zako zilikuwa ni za kudhalilisha uanaume wa wangu, ningeanzisha battle na wewe mpaka nione kama una huo uwezo uliojinadi nao.
Jifunzeni kukabiliana na vitu kwa busara, kuna watu duniani hawachezewi,ohooo.
ningeanzisha battle na wewe mpaka nione kama una huo uwezo uliojinadi nao.
Naona haujataka tu kunielewa mkuu😂.Kwenye maelezo yangu nimesema kabisa siwezi kupigania mwanamke kwakua wapo wengi tu,tena kama ni mchumba tu (sio mke) ndo kabisaaaaa siwezi. Soma hapo chini Ili ujue kauli zangu zimekujaje:-Kumbe mkuu ndy nyie mnaopigania mwanamke?
Mwanamke hapiganiwi MKUU,,ni kama chanjo ni hiyari ya moyo wake.
Na mapenzi sio lazima.
Kwanza ni kipi kimedhalilisha uanaume hapo?
Unapaswa ujifunze kitu.
Usimpigie Simu mwanaume mwenzio kisa unahisi anauhusiano na mwanamke wako.
Deal with your woman.
Ni kosa kubwa sana ktk mahusiano,kumpigia unayemuhisi.
Kwanza ni kama unazidi kumchoche mwanamke/mwanaume wako kuvutiwa na adui wako.
Pia kumbuka vita havina macho ,,
Chunga sana usije ukapata kilema wewe badala ya huyo mchepuko..
Hiyo ndo itakuwa ponapona yako.Vipi ukikuta ninao huo uwezo?
Hiyo ndo itakuwa ponapona yako.
Aiseeh ukikutana na watu wanaopenda vita mwanzo mwisho ni lazima akufanye kitu mbaya, haiwezekani nikuachie mwanamke afu nikubali na kupigwa mkwara kirahisi hivyo.Narudia tena,hapo tungetafutana mpaka mmoja wetu akubali, sio kwasababu ya mwanamke bali ni kwasababu kauli zako zilikuwa ni zakunidhalilisha mbele ya mwanamke (maana simu ilikuwa loud mode)
Shukuru sana ulikutana na boya.
Mkuu hata wewe unaweza kuninyang'anya na wala nisifanye chochote, mchuke demu wangu kausha ila maswala ya kunipiga mkwara mbele ya demu wangu, aaaaàah aiseeh hakikisha uwezo wa kufanya kitu unao vinginevyo sijui tu.,daaah hahahaa😂.Assumption unayoifanya ni kwamba mtu anaekuchukulia demu wako lazima atakua boya kuliko wewe, kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.
Unaweza kunyang'anywa mwanamke na usifanye chochote! Tena ukijaribu ukajikuta wewe ndio unalia kama mbwa mwizi kuomba msamaha na kuapa kwamba hautarudia tena 😀
Nachotaka kusema ni kwamba, hata ukifanya hiyo vita na ukashinda, bado mwishoni utakuja kugundua haina manufaa yoyote na kama ni mwanamke atachukuliwa tu, na heshima itashuka tu mwisho ni stress tu. Kama una akili, ishu kama hizi ni kutemana nazo na kufanya mambo ya maana.
Sasa mkuu nikuchukulie mke wako alafu licha ya kunipoteza nianze kukufanyia dharau mbele ya mwanamke wako, utalichukuliaje hilo swala?Assumption unayoifanya ni kwamba mtu anaekuchukulia demu wako lazima atakua boya kuliko wewe, kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.
Sawa MKUU,,Naona haujataka tu kunielewa mkuu[emoji23].Kwenye maelezo yangu nimesema kabisa siwezi kupigania mwanamke kwakua wapo wengi tu,tena
Kwa uzoefu wangu:
Kama wewe ni mwanaume, ukagundua kuna mtu anamzengea mke/mchumba wako, unaweza kabisa kumfata KISTAARABU mkakaa na mkaongea kama wanaume na swala hilo likaisha! Hii nina ushahidi wa kutosha kwa jamaa ambao limeshawatokea.
Mimi binafsi mwanaume mwenzangu akinifata KISTAARABU akaniambia bro huyu manzi ivi na ivi bana ni wife/mchumba wangu na nini..., mi naachana na huyo demu immediately. Aftaroo hawa mademu tunakula tu mara nyingi hua hatuna fyucha wala nini so kumuacha ni sekunde.
NB 1: Uje kistaarabu. Sio unapiga simu "Oya we bloo unamjua fulani? Ni nani wako? Achana nae kabisa... nyoko nyoko...!" Weeee! Hapo ata kama nilikua sina mpango wa kumla ntafanya juu chini nimtafune!
NB 2: Hii kwa upande wa wanawake HAIWEZEKANI!