Je, ni sahihi kuosha engine ya gari?

Oil itaonekana tu, engine ikiwa safi au chafu. Wewe utashindwa kuona michirizi ya oil toka kwenye cylinder head?!
Huwa chuma zinasafiwa vizuri kabisa, oil inapotea kwenye engine kabisa kisha wanaiwekea oil yenye viscosity kubwa halafu wanasubiri mpigwaji.
 
Kwa mimi hapo watachemka bado. Gari ikiwekewa oil ambayo si size yake huwa naiskia from the moment ikiwaka na nikishaiendesha.

Shida madalali hawakupi nafasi ya kutathimini, wanakuletea lugha za kama chombo umekipenda si ukinunue sio kukagua sana.

Mimi huwa nakuwa mkali. Kwanza wakati wa kunegotiate sitaki dalali wala mpambe yoyote awe pembeni au kati yangu na mwenye mali anatupumulia kama nguruwe.

Anyways sijawahi kulipia gari ya mkononi maana najua wabongo kwa matukio ya upigaji. Gari ikisha tumika bongo muda mrefu, zinakuwa majanga sana kununua. Repair cost zinakuwa juu kiasi kwamba kwa baada ya miaka miwili repair cost + purchase cost =A best condition imported Car.
 
Nilishawahi osha Nissan Xtrail,

Check engine ikawaka, hadi kuizima ilinitoka kama 250k. Nikaapa sirudii kuruhusu kitu kama hiki tena.

Ilikuwa mwaka 2015.

Uliosha ili iweje mkuu.
 

Nakubaliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…