katika hilo inaweza ikawa halali Kama mchoro wao unawataka kufanya hivyo, lakini pia inaweza isiwe halali Kama mchoro wao hauja elekezwa kupitisha hapo.Ni sahihi kupitisha nyaya za umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya Mwenye Nyumba? Na Kama ikitokea nyaya zimepita kwenye uwanja wa mtu na baadae akataka kujenga nyumba sehemu hiyo atafanyaje?
Naomba ufafanuzi ili wote tuwe na uelewa wa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app