Je ni Sahihi kusema Kanisa la Mwingira au Kanisa la Mwamposa au Kanisa la Lusekelo ama CCM ya Magufuli au Chadema ya Dr Slaa au CUF ya maalim Seif?

Je ni Sahihi kusema Kanisa la Mwingira au Kanisa la Mwamposa au Kanisa la Lusekelo ama CCM ya Magufuli au Chadema ya Dr Slaa au CUF ya maalim Seif?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu ndugu Zangu maana nijuavyo Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma siyo binafsi

Aidha Kanisa ni la Yesu Kristo yaani Moja Takatifu La Mitume na Utukufu Ni wa Mungu Juu Mbinguni siyo Wanadamu

Naomba sasa Swali langu lijibiwe

Nimekaa pale 🐼😂
 
Inategemea muktadha. Unadhani ni kosa kusema Tanzania yangu? Ila kuna mazingira ukisema hivyo, basi unashtakiwa na kufungwa mazima.
 
Back
Top Bottom