J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 29, 2024 #1 Nauliza tu ndugu Zangu maana nijuavyo Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma siyo binafsi Aidha Kanisa ni la Yesu Kristo yaani Moja Takatifu La Mitume na Utukufu Ni wa Mungu Juu Mbinguni siyo Wanadamu Naomba sasa Swali langu lijibiwe Nimekaa pale ๐ผ๐
Nauliza tu ndugu Zangu maana nijuavyo Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma siyo binafsi Aidha Kanisa ni la Yesu Kristo yaani Moja Takatifu La Mitume na Utukufu Ni wa Mungu Juu Mbinguni siyo Wanadamu Naomba sasa Swali langu lijibiwe Nimekaa pale ๐ผ๐
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Oct 29, 2024 #2 Inategemea muktadha. Unadhani ni kosa kusema Tanzania yangu? Ila kuna mazingira ukisema hivyo, basi unashtakiwa na kufungwa mazima.
Inategemea muktadha. Unadhani ni kosa kusema Tanzania yangu? Ila kuna mazingira ukisema hivyo, basi unashtakiwa na kufungwa mazima.